مَا تَسۡبِقُ مِنۡ أُمَّةٍ أَجَلَهَا وَمَا يَسۡتَـٔۡخِرُونَ ٤٣
Al-Mu'minun 23:43
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 43/118
Ukurasa 345
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hapana umma uwezao kutanguliza ajali yake wala kuikawiza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hautangulii ummah wowote, miongoni mwa ummah hawa wanaokanusha Mitume wao, muda uliowekewa kuangamia kwake, wala hauchelewi.
Al-Mu'minun 23:43
Inapakia kisomo…
0:00