فَكَذَّبُوهُمَا فَكَانُواْ مِنَ ٱلۡمُهۡلَكِينَ ٤٨
Al-Mu'minun 23:48
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 48/118
Ukurasa 345
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wakawakanusha, na wakawa miongoni mwa walio angamizwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi wakawakanusha katika yale waliyokuja nayo, wakawa ni wenye kuangamizwa kwa kuzamishwa baharini.
Al-Mu'minun 23:48
Inapakia kisomo…
0:00