نُسَارِعُ لَهُمۡ فِي ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ بَل لَّا يَشۡعُرُونَ ٥٦
Al-Mu'minun 23:56
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 56/118
Ukurasa 345
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ndio tunawahimizia kheri? Lakini wenyewe hawatambui. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika tunawaharakishia haya mazuri kwa kuwatahini na kwa kuwavuta kidogo kidogo, lakini wao hawalihisi hilo.
Al-Mu'minun 23:56
Inapakia kisomo…
0:00