أَمۡ لَمۡ يَعۡرِفُواْ رَسُولَهُمۡ فَهُمۡ لَهُۥ مُنكِرُونَ ٦٩
Al-Mu'minun 23:69
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 69/118
Ukurasa 346
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Au hawakumjua Mtume wao, ndio maana wanamkataa? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Au limewazuia wao kuifuata haki kwa kuwa Mtume wao, Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, hajulikani kwao na kwa hivyo wanamkataa?
Al-Mu'minun 23:69
Inapakia kisomo…
0:00