فَمَنِ ٱبۡتَغَىٰ وَرَآءَ ذَٰلِكَ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡعَادُونَ ٧
Al-Mu'minun 23:7
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 7/118
Ukurasa 342
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini anaye taka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi mwenye kutaka kujistarehesha na asiyekuwa mkewe au mjakazi wake, huyo ni miongoni mwa wenye kuikiuka halali na kuijia haramu na atakuwa amejiorodhesha nafsi yake kwenye mateso ya Mwenyezi Mungu na hasira Zake.
Al-Mu'minun 23:7
Inapakia kisomo…
0:00