وَهُوَ ٱلَّذِي ذَرَأَكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَإِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ ٧٩
Al-Mu'minun 23:79
سورة المؤمنون
Makka
Aya: 79/118
Ukurasa 347
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Yeye ndiye aliye kuenezeni katika ardhi, na kwake Yeye mtakusanywa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na yeye Ndiye Aliyewaumba watu wote katika ardhi, na Kwake Yeye mtakusanywa baada ya kufa kwenu, na hapo Atawalipa kwa mliyoyatenda, mema au maovu.
Al-Mu'minun 23:79
Inapakia kisomo…
0:00