وَغَدَوۡاْ عَلَىٰ حَرۡدࣲ قَٰدِرِينَ ٢٥
Al-Qalam 68:25
سورة القلم
Makka
Aya: 25/52
Ukurasa 565
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakaenda kipindi cha mwanzo wa mchana kuelekea kwenye shamba lao wakiwa na lengo baya la kuwanyima masikini matunda ya shamba, wakiwa wana uwezo kamili wa kulitekeleza hilo kulingana na madai yao.
Al-Qalam 68:25
Inapakia kisomo…
0:00