وَفَجَّرۡنَا ٱلۡأَرۡضَ عُيُونࣰا فَٱلۡتَقَى ٱلۡمَآءُ عَلَىٰٓ أَمۡرࣲ قَدۡ قُدِرَ ١٢
Al-Qamar 54:12
سورة القمر
Makka
Aya: 12/55
Ukurasa 529
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na tukapasua ardhi tukatoa chemchemi za maji yanayotoka kwa kasi, yakakutana maji ya mbinguni na maji ya ardhini kuwaangamiza wao kwa vile Alivyowakadiria mwenyezi Mungu, yakiwa ni malipo ya ushirikina wao.
Al-Qamar 54:12
Inapakia kisomo…
0:00