أَيَحۡسَبُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَلَّن نَّجۡمَعَ عِظَامَهُۥ ٣
Al-Qiyamah 75:3
سورة القيامة
Makka
Aya: 3/40
Ukurasa 577
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je anadhanihuyu binadamu kafiri kuwa sisi hatutaweza kuikusanya mifupa yake baada ya kuwa mbalimbali.?
Al-Qiyamah 75:3
Inapakia kisomo…
0:00