Al-Qiyamah 75:32

سورة القيامة

Makka Aya: 32/40 Ukurasa 578

وَلَٰكِن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ٣٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Bali alikanusha, na akageuka.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Lakini aliikanusha Qur’ani na akaipa mgongo Imani,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu