Al-Waqi'ah 56:20

سورة الواقعة

Makka Aya: 20/96 Ukurasa 535

وَفَٰكِهَةࣲ مِّمَّا يَتَخَيَّرُونَ ٢٠

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na matunda wayapendayo,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na watawazunguka wao watumishi vijana na kila kitu wanachokichagua miongoni mwa matunda,

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu