لَمَجۡمُوعُونَ إِلَىٰ مِيقَٰتِ يَوۡمࣲ مَّعۡلُومࣲ ٥٠
Al-Waqi'ah 56:50
سورة الواقعة
Makka
Aya: 50/96
Ukurasa 535
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
watakusanywa katika Siku iliyowekewa wakati maalumu, nayo ni Siku ya Kiyama.
Al-Waqi'ah 56:50
Inapakia kisomo…
0:00