An-Naba' 78:19

سورة النبأ

Makka Aya: 19/40 Ukurasa 582

وَفُتِحَتِ ٱلسَّمَآءُ فَكَانَتۡ أَبۡوَٰبࣰا ١٩

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na mbingu zitafunguliwa, ziwe milango,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na zikafunguliwa mbingu zikawa ni zenye milango mingi kwa ajili ya kuteremka Malaika.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu