مَتَٰعࣱ قَلِيلࣱ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمࣱ ١١٧
An-Nahl 16:117
سورة النحل
Makka
Aya: 117/128
Ukurasa 280
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Starehe walionayo duniani na starehe yenye kuondoka na ni chache. Na huko Akhera watapata adhabu iumizayo.
An-Nahl 16:117
Inapakia kisomo…
0:00