وَءَاتَيۡنَٰهُ فِي ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةࣰۖ وَإِنَّهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ١٢٢
An-Nahl 16:122
سورة النحل
Makka
Aya: 122/128
Ukurasa 281
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukampa wema duniani, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tulimpa ulimwenguni neema nzuri ya kusifiwa na watu waliokuja nyuma yake, kufuatwa na kuwa na watoto wema. Na yeye, mbele ya Mwenyezi Mungu, huko Akhera, ni miongoni mwa watu wema wenye daraja za juu.
An-Nahl 16:122
Inapakia kisomo…
0:00