أَمۡوَٰتٌ غَيۡرُ أَحۡيَآءࣲۖ وَمَا يَشۡعُرُونَ أَيَّانَ يُبۡعَثُونَ ٢١
An-Nahl 16:21
سورة النحل
Makka
Aya: 21/128
Ukurasa 269
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ni wafu si wahai, na wala hawajui watafufuliwa lini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wote hao ni visiki, havina uhai, wala hawajui wakati ambao Mwenyezi Mungu Atawafufua wale wanaowaabudu. Na waungu hao pamoja na wanaowaabudu wote watatupwa Motoni Siku ya Kiyama.
An-Nahl 16:21
Inapakia kisomo…
0:00