وَأَنَّهُۥ هُوَ أَغۡنَىٰ وَأَقۡنَىٰ ٤٨
An-Najm 53:48
سورة النجم
Makka
Aya: 48/62
Ukurasa 528
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kwamba ni Yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Yeye Ndiye Anayewatajirisha Anaowataka miongoni mwa viumbe Wake kwa mali, na Ndiye Anayewamilikisha na kuwaridhisha nayo.
An-Najm 53:48
Inapakia kisomo…
0:00