An-Najm 53:51

سورة النجم

Makka Aya: 51/62 Ukurasa 528

وَثَمُودَاْ فَمَآ أَبۡقَىٰ ٥١

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na Thamudi hakuwabakisha,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na Akawaangamiza Thamūd, nao ni watu wa Ṣāliḥ, Asimbakishe yoyote katika wao.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu