حَتَّىٰٓ إِذَآ أَتَوۡاْ عَلَىٰ وَادِ ٱلنَّمۡلِ قَالَتۡ نَمۡلَةࣱ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّمۡلُ ٱدۡخُلُواْ مَسَٰكِنَكُمۡ لَا يَحۡطِمَنَّكُمۡ سُلَيۡمَٰنُ وَجُنُودُهُۥ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ١٨
An-Naml 27:18
سورة النمل
Makka
Aya: 18/93
Ukurasa 378
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mpaka walipofika kwenye bonde la chungu, alisema chungu mmoja «Enyi chungu! Ingieni kwenye makazi yenu ili Sulaymān na askari wake wasije wakawaua na hali wao hawajui hilo.»
An-Naml 27:18
Inapakia kisomo…
0:00