وَإِنِّي مُرۡسِلَةٌ إِلَيۡهِم بِهَدِيَّةࣲ فَنَاظِرَةُۢ بِمَ يَرۡجِعُ ٱلۡمُرۡسَلُونَ ٣٥
An-Naml 27:35
سورة النمل
Makka
Aya: 35/93
Ukurasa 379
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na mimi nitamtumia Sulaymān tunu iliyokusanya mali ya thamani ili kufanya urafiki naye kwayo, na nitangojea watarudi na nini hao wajumbe.»
An-Naml 27:35
Inapakia kisomo…
0:00