وَلُوطًا إِذۡ قَالَ لِقَوۡمِهِۦٓ أَتَأۡتُونَ ٱلۡفَٰحِشَةَ وَأَنتُمۡ تُبۡصِرُونَ ٥٤
An-Naml 27:54
سورة النمل
Makka
Aya: 54/93
Ukurasa 381
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Lut'i alipo waambia watu wake: Je! Mnafanya uchafu nanyi mnaona? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na mkumbuke na umtaje Lūṭ, aliposema kuwaambia watu wake, «Hivi nyinyi mnaleta kitendo ambacho ni upeo wa ubaya, nanyi mnajua ubaya wake?
An-Naml 27:54
Inapakia kisomo…
0:00