وَمَا مِنۡ غَآئِبَةࣲ فِي ٱلسَّمَآءِ وَٱلۡأَرۡضِ إِلَّا فِي كِتَٰبࣲ مُّبِينٍ ٧٥
An-Naml 27:75
سورة النمل
Makka
Aya: 75/93
Ukurasa 383
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika Kitabu kinacho bainisha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hakuna kitu chochote kilichofichika na macho ya viumbe, kilichoko mbinguni na ardhini,isipokuwa kiko kwenye Kitabu kilicho waziwazi kilichoko kwa Mwenyezi Mungu. Kitabu hiko kimevizunguka vyote vilivyokuwa na vitakavyokuwa.
An-Naml 27:75
Inapakia kisomo…
0:00