وَوَقَعَ ٱلۡقَوۡلُ عَلَيۡهِم بِمَا ظَلَمُواْ فَهُمۡ لَا يَنطِقُونَ ٨٥
An-Naml 27:85
سورة النمل
Makka
Aya: 85/93
Ukurasa 384
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. Basi hao hawatasema lolote. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo lithibiti juu yao neno la adhabu kwa sababu ya udhalimu wao na ukanushaji wao, na watakuwa hawatamki neno lenye hoja ya wao kujitetea nafsi zao ili kujiepushia adhabu kali iliyowashukia.
An-Naml 27:85
Inapakia kisomo…
0:00