An-Nazi'at 79:8

سورة النازعات

Makka Aya: 8/46 Ukurasa 583

قُلُوبࣱ يَوۡمَئِذࣲ وَاجِفَةٌ ٨

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Siku hiyo nyoyo zitapiga piga,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Nyoyo za makafiri, Siku hiyo, zitakuwa na papatiko kwa kicho kikubwa.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu