أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَٰفِرُونَ حَقࣰّاۚ وَأَعۡتَدۡنَا لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابࣰا مُّهِينࣰا ١٥١
An-Nisa' 4:151
سورة النساء
Madina
Aya: 151/176
Ukurasa 102
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hao ndio wenye ukafiri wa hakika usiokuwa na shaka. Na tumewaandalia makafiri adhabu itakayowadhili na kuwatweza.
An-Nisa' 4:151
Inapakia kisomo…
0:00