وَإِذࣰا لَّأٓتَيۡنَٰهُم مِّن لَّدُنَّآ أَجۡرًا عَظِيمࣰا ٦٧
An-Nisa' 4:67
سورة النساء
Madina
Aya: 67/176
Ukurasa 89
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hapo tunge wapa malipo makubwa kutoka kwetu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na tungaliwapa thawabu kubwa kutoka kwetu, duniani na Akhera,
An-Nisa' 4:67
Inapakia kisomo…
0:00