ٱلَّذِينَ يُوفُونَ بِعَهۡدِ ٱللَّهِ وَلَا يَنقُضُونَ ٱلۡمِيثَٰقَ ٢٠
Ar-Ra'd 13:20
سورة الرعد
Madina
Aya: 20/43
Ukurasa 252
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
ambao wanatekeleza ahadi ya Mwenyezi Mungu Ambayo Aliwaamrisha kwayo na wasiitangue ahadi ya mkazo ambayo walimuahidi nayo Mwenyezi Mungu.
Ar-Ra'd 13:20
Inapakia kisomo…
0:00