Ar-Rahman 55:39

سورة الرحمن

Madina Aya: 39/78 Ukurasa 532

فَيَوۡمَئِذࣲ لَّا يُسۡـَٔلُ عَن ذَنۢبِهِۦٓ إِنسࣱ وَلَا جَآنࣱّ ٣٩

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu