هَلۡ جَزَآءُ ٱلۡإِحۡسَٰنِ إِلَّا ٱلۡإِحۡسَٰنُ ٦٠
Ar-Rahman 55:60
سورة الرحمن
Madina
Aya: 60/78
Ukurasa 533
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je atakuwa na malipo yoyote, huyu aliyekuwa mwema wa matendo duniani, isipokuwa ni afanyiwe wema kwa kupewa Pepo huko Akhera?
Ar-Rahman 55:60
Inapakia kisomo…
0:00