فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَهُمۡ فِي رَوۡضَةࣲ يُحۡبَرُونَ ١٥
ArRoom 30:15
سورة الروم
Makka
Aya: 15/60
Ukurasa 405
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ama walio amini na wakatenda mema watafurahishwa katika Bustani. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ama waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, wenye kufanya matendo mema, watakuwa Peponi ambapo watakirimiwa, watafurahishwa na wataneemeshwa.
ArRoom 30:15
Inapakia kisomo…
0:00