فَلَمَّآ أَسۡلَمَا وَتَلَّهُۥ لِلۡجَبِينِ ١٠٣
As-Saffat 37:103
سورة الصافات
Makka
Aya: 103/182
Ukurasa 450
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wote wawili walipo jisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Walipojisalimisha wao wawili kwa kuifuata amri ya Mwenyezi Mungu na kuiandama, na Ibrāhīm akambwaga Ismā'īl chini, kwa upande wa paji la uso, ili kumchinja.
As-Saffat 37:103
Inapakia kisomo…
0:00