وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِمَا فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ١١٩
As-Saffat 37:119
سورة الصافات
Makka
Aya: 119/182
Ukurasa 450
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukawaachia (sifa njema) katika watu walio kuja baadaye. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na tukazifanya sifa zao nzuri na utajo wao mwema ni vyenye kusalia baada yao.
As-Saffat 37:119
Inapakia kisomo…
0:00