أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابࣰا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبۡعُوثُونَ ١٦
As-Saffat 37:16
سورة الصافات
Makka
Aya: 16/182
Ukurasa 446
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ati tukisha kufa na tukawa udongo na mifupa ndio kweli tutafufuliwa? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, tunapokufa na tukawa ni mchanga na mifupa iliyochakaa, je sisi ni wenye kufufuliwa kutoka makaburini mwetu tukiwa hai?
As-Saffat 37:16
Inapakia kisomo…
0:00