وَأَقۡبَلَ بَعۡضُهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضࣲ يَتَسَآءَلُونَ ٢٧
As-Saffat 37:27
سورة الصافات
Makka
Aya: 27/182
Ukurasa 447
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Watakabiliana wao kwa wao kuulizana. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hapo makafiri watakabiliana wao kwa wao wakilaumiana na wakigombana.
As-Saffat 37:27
Inapakia kisomo…
0:00