بَلۡ جَآءَ بِٱلۡحَقِّ وَصَدَّقَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ٣٧
As-Saffat 37:37
سورة الصافات
Makka
Aya: 37/182
Ukurasa 447
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Bali huyu amekuja kwa Haki, na amewasadikisha Mitume. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wamesema urongo! Muhammad sivyo vile walivyomueleza. Bali amekuja na Qur’ani na upwekeshaji Mwenyezi Mungu, na akathibitisha ukweli wa Mitume katika kile walichokitolea habari kuhusu sheria ya Mwenyezi Mungu na kumpwekesha Yeye.
As-Saffat 37:37
Inapakia kisomo…
0:00