وَمَا تُجۡزَوۡنَ إِلَّا مَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ٣٩
As-Saffat 37:39
سورة الصافات
Makka
Aya: 39/182
Ukurasa 447
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wala hamlipwi ila hayo mliyo kuwa mkiyafanya. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hamtalipwa huko Akhera isipokuwa kwa lile la maasia mliokuwa mkilifanya duniani.
As-Saffat 37:39
Inapakia kisomo…
0:00