۞ وَإِنَّ مِن شِيعَتِهِۦ لَإِبۡرَٰهِيمَ ٨٣
As-Saffat 37:83
سورة الصافات
Makka
Aya: 83/182
Ukurasa 449
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na miongoni mwa waliokuwa katika nyendo za Nūḥ, njia yake na mila yake ni Nabii wa Mwenyezi Mungu Ibrāhīm,
As-Saffat 37:83
Inapakia kisomo…
0:00