أَئِفۡكًا ءَالِهَةࣰ دُونَ ٱللَّهِ تُرِيدُونَ ٨٦
As-Saffat 37:86
سورة الصافات
Makka
Aya: 86/182
Ukurasa 449
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, mnataka kuabudu waungu wa kuzuliwa na mnaacha kumuabudu Mwenyezi Mungu Anayestahiki kuabudiwa Peke Yake?
As-Saffat 37:86
Inapakia kisomo…
0:00