Ash-Sharh 94:2

سورة الشرح

Makka Aya: 2/8 Ukurasa 596

وَوَضَعۡنَا عَنكَ وِزۡرَكَ ٢

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na tukakuondolea mzigo wako,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Tukakuondolea mazito yako yaliyoemea mgongo wako

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu