قَالُواْ لَئِن لَّمۡ تَنتَهِ يَٰنُوحُ لَتَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمَرۡجُومِينَ ١١٦
Ash-Shu'ara' 26:116
سورة الشعراء
Makka
Aya: 116/227
Ukurasa 372
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wakasema: Ikiwa huachi, ewe Nuhu, bila ya shaka utapigwa mawe. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hapo watu wa Nūḥ waliacha kubishana na wakaamua kutoa vitisho, hivyo basi wakamuambia, «Usiporudi nyuma, ewe Nūḥ, ukaacha huo ulinganizi wako, utakuwa ni miongoni mwa wenye kuuawa kwa kupigwa mawe.»
Ash-Shu'ara' 26:116
Inapakia kisomo…
0:00