وَلَهُمۡ عَلَيَّ ذَنۢبࣱ فَأَخَافُ أَن يَقۡتُلُونِ ١٤
Ash-Shu'ara' 26:14
سورة الشعراء
Makka
Aya: 14/227
Ukurasa 367
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wao wana kisasi juu yangu, kwa hivyo naogopa wasije kuniuwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na watanishika na kosa la kumuua mwanamume wa jamii ya Qibṭī miongoni mwao, na kwa hivyo ninaogopa wasiniue kwa ajili yake.»
Ash-Shu'ara' 26:14
Inapakia kisomo…
0:00