فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٥٠
Ash-Shu'ara' 26:150
سورة الشعراء
Makka
Aya: 150/227
Ukurasa 373
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi ogopeni adhabu ya Mwenyezi Mungu na mkubali ushauri wangu,
Ash-Shu'ara' 26:150
Inapakia kisomo…
0:00