Ash-Shu'ara' 26:165

سورة الشعراء

Makka Aya: 165/227 Ukurasa 374

أَتَأۡتُونَ ٱلذُّكۡرَانَ مِنَ ٱلۡعَٰلَمِينَ ١٦٥

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    «Mnawaingilia binadamu wanaume

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu