إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةࣰۖ وَمَا كَانَ أَكۡثَرُهُم مُّؤۡمِنِينَ ١٧٤
Ash-Shu'ara' 26:174
سورة الشعراء
Makka
Aya: 174/227
Ukurasa 374
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika katika hayo ipo Ishara. Na hawakuwa wengi wao wenye kuamini. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwa hakika, katika mateso hayo yaliyowateremkia watu wa Lūṭ pana mazingatio na mawaidha ya kuwafanya wenye kukanusha wawaidhike. Na wengi wao hawakuwa ni wenye kuamini.
Ash-Shu'ara' 26:174
Inapakia kisomo…
0:00