قَالَ رَبِّيٓ أَعۡلَمُ بِمَا تَعۡمَلُونَ ١٨٨
Ash-Shu'ara' 26:188
سورة الشعراء
Makka
Aya: 188/227
Ukurasa 375
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Mola wangu Mlezi anajua zaidi mnayo yatenda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Shu’ayb akawaambia wao, «Mola wangu Anayajua zaidi yale mnayoyafanya ya ushirikina na uasi na mateso mnayostahili.»
Ash-Shu'ara' 26:188
Inapakia kisomo…
0:00