وَإِنَّهُۥ لَفِي زُبُرِ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٩٦
Ash-Shu'ara' 26:196
سورة الشعراء
Makka
Aya: 196/227
Ukurasa 375
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kwa hakika, utajo wa hii Qur’ani umethibitishwa katika Vitabu vya Manabii waliotangulia, vimeibashiri na kukubali kuwa ni ya kweli.
Ash-Shu'ara' 26:196
Inapakia kisomo…
0:00