قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ إِذࣰا لَّمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ٤٢
Ash-Shu'ara' 26:42
سورة الشعراء
Makka
Aya: 42/227
Ukurasa 369
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Naam! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Fir’awn akasema, «Ndio, nyinyi mtapata kwangu malipo mnayoyataka, na nyinyi hapo mtakuwa ni miongoni mwa wenye kusogezwa karibu na mimi.»
Ash-Shu'ara' 26:42
Inapakia kisomo…
0:00