فَأَرۡسَلَ فِرۡعَوۡنُ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ٥٣
Ash-Shu'ara' 26:53
سورة الشعراء
Makka
Aya: 53/227
Ukurasa 369
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi Firauni akawatuma mijini wapiga mbiu za mgambo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Fir’awn akawatuma askari wake, alipopata habari kwamba Wana wa Isrāīl wameenda usiku, wakusanye jeshi lake kutoka miji ya utawala wake.
Ash-Shu'ara' 26:53
Inapakia kisomo…
0:00