كَذَٰلِكَۖ وَأَوۡرَثۡنَٰهَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ٥٩
Ash-Shu'ara' 26:59
سورة الشعراء
Makka
Aya: 59/227
Ukurasa 369
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kadhaalika; na tukawarithisha hayo Wana wa Israili. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kama tulivyowatoa, tuliwapatia nyumba hizo Wana wa Isrāīl baada yao wao.
Ash-Shu'ara' 26:59
Inapakia kisomo…
0:00