وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ٦٨
Ash-Shu'ara' 26:68
سورة الشعراء
Makka
Aya: 68/227
Ukurasa 370
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kwa hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hakika ya Mola wako Ndiye Mshindi, Ndiye Mwenye kurehemu. Kwa nguvu Zake na ushindi Amewaangamiza makafiri wakanushaji, na kwa rehema Yake Amemuokoa Mūsā na waliokuwa pamoja na yeye wote.
Ash-Shu'ara' 26:68
Inapakia kisomo…
0:00